Page 39 - PPTL.QM.001 Iss 01 - ISO 9001 Quality Manual - Full [Unsigned]
P. 39

Appendix VII: PPTL Sera ya Ubora (Quality Policy)



                           Phillips Pharmaceuticals (Tanzania Limited imejizatiti katika kutoa huduma bora za uhifadhi na


                             usambazaji wa bidhaa bora za afya kinga nchini Tanzania. Kampuni imejijenga kiuwezo tangu

                          kuanzishwa kwake ikiwa na lengo kuu la kuboresha upatikanaji na usambazaji wa bidhaa bora za

                                                                                   afya kinga kwa wateja wake.




                           Wakurugenzi, Utawala na wafanyakazi wote wanahusika kwa dhati katika uhakikishaji wa ubora

                            kupitia mfumo wa usimamiaji ubora, ikilenga uboreshaji katika majukumu yao ikiwa ni pamoja

                                                                  na kupitia na kujenga hamasa ndani ya kampuni.




                            Kampuni imejizatiti kutimiza na kukidhi maitaji ya wateja wake kwa kutumia taratibu za ubora

                            ambazo zitasaidia kutimiza maitaji ya ubora ya ISO 9001, ikiwa ni pamoja na kukidhi maitaji ya

                                                                                        kisheria na ya uthibiti.



































































                                              Quality Management System Tool – Quality Policy, PDL/QMS/QA/023 Issue Number 01
   34   35   36   37   38   39   40   41   42   43   44